Alphonce Felix Simbu, mwenye umri wa 33, ameandika historia kwa Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu ya kwanza kabisa katika mashindano ya mbio za marathon — World Athletics Championships — yaliyofanyika Tokyo, Japan tarehe 15 Septemba 2025. Mara ya mwisho Simbu alishinda medali kwa mashindano hayo ilikuwa mwaka 2017 London, ambapo alipata bronze kwenye…
Continue Reading