Jeshi la majini la El Salvador limekamata meli iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Tanzania, yenye usajili wa Zanzibar, baada ya kubainika kubeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya cocaine katika operesheni ya baharini. Meli hiyo yenye urefu wa takribani mita 54, iliyotajwa kama FMS Eagle, ilikamatwa umbali wa takribani maili 380 za baharini kusini-magharibi…
Continue Reading