Afghanistan na Pakistan zimeingia katika vurugu za kijeshi kando ya mpaka unaogawanya nchi hizo wawili, baada ya Afghanistan kuzindua mashambulizi makubwa dhidi ya ngome za kijeshi za Pakistan na Pakistan kujibu kwa operesheni kali ya kijeshi. Vituo vya habari vya serikali ya Afghanistan vimeeleza kuwa vikosi vyao vimefanya “operesheni za kulipiza kisasi” dhidi ya vituo…
Continue Reading