Aliyekuwa Rais wa Ghana John Dramani Mahama amewasili Tanzania kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yanayofanyika Arusha. John Dramani Mahama aliwasili nchini Jumatatu kuhudhuria hafla ya kuadhimisha miaka miwili tangu kuanza kwa shughuli rasmi za Mahakama hiyo mwaka 2006. Mahakama hiyo ilianzishwa chini…
Continue Reading