Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com
Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com
Taarifa kutoka barani Afrika, zikihusu siasa, usalama, uchumi, na masuala ya kijamii katika nchi mbalimbali za bara hili.

Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Nadir Alwardy amesema yuko tayari kujiuzulu iwapo atashindwa kutekeleza majukumu yake na kuwatumikia wananchi ipasavyo. Kauli hiyo ameitoa leo Mei 29, 2026 ndani…

Shirika la Afya Duniani WHO limesema mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo huenda ulianza takribani miezi miwili iliyopita kabla ya kuthibitishwa rasmi. WHO imesema…

Msanii mkongwe wa filamu Tanzania Hashim Kambi amefariki dunia Dar es Salaam baada ya kuzidiwa ghafla akiwa kazini, huku akidaiwa kusumbuliwa na presha na kisukari.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando, amesema wamefanikisha kujenga mabanda mapya ya wafanyabiashara zaidi ya 200 katika Soko la Mawasiliano (Simu 2000) ikiwa zimepita wiki tatu tu tangu…

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi mpya za kuandikishwa kwa vijana wa Kitanzania, likieleza sifa, utaratibu wa maombi na muda wa kuwasilisha. Tangazo hilo limetolewa na…

Mfanyabiashara mmoja kutoka Scotland (Uskochi) amepatikana akiwa ameuawa nchini Kenya, mwili wake ukiwa umefungwa na kuwekwa ndani ya gunia, huku polisi wakiwakamata watuhumiwa wanne katika tukio linalodaiwa kuwa ujambazi uliogeuka…

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola, ameibua mjadala mkali bungeni baada ya kumtaka waziri mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba kuchukua hatua madhubuti dhidi ya vitendo vya rushwa vinavyoendelea nchini. Akichangia bungeni…

Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Said Bungara maarufu “Bwege,” amefariki Jumatatu mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya figo katika hospitali binafsi.

Meli kadhaa za kubeba magari zimeanza kubadili safari na kuelekea Bandari ya Lamu nchini Kenya, kufuatia kuongezeka kwa hatari za usalama katika Mlango wa Bahari wa Hormuz. Hatua hiyo imeathiri…

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 50, anayefahamika kwa jina la Maselina Mtewele, anashikiliwa na polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mumewe, Gwido Kigaya (59), kwa kumkata kwa panga…