
“Nitajizulu”: Waziri wa Nishati Zanzibar Atoa Kauli Katika Bunge la Wawakilishi
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Nadir Alwardy amesema yuko tayari kujiuzulu iwapo atashindwa kutekeleza majukumu yake na kuwatumikia wananchi ipasavyo. Kauli hiyo ameitoa leo Mei 29, 2026 ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara…










