Kategoria: Habari
Habari za hivi punde kuhusu matukio ya ndani na nje ya nchi, zikiangazia siasa, jamii, na masuala muhimu yanayoathiri maisha ya watu.
-

Klabu ya Yanga safarini kuikabili Mwadui FC
Kikosi cha Yanga Sc kilicho chini ya Kocha Msaidizi wa timu hiyo Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa basi kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa Juni 13, Uwanja wa Kambarage.Yanga Sc ipo nafasi ya tatu katika msimo wa ligi ikiwa na alama 51 baada ya kucheza mechi 27, huku Azam Fc ikiwa…
-

Kocha wa Azam FC alalamikia juu ya ratiba.
ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ratiba kwake imekuwa ngumu kwa kuwa ana mechi ngumu na za ushindani ikiwa ni pamoja na ile ya Simba, Julai Mosi. Juni 14, Ciaoba atakiongoza kikosi chake kumenyana na Mbao mchezo wa ligi, atakuwa na kazi ya kumenyana pia na Simba Julai Mosi, Uwanja wa Taifa…






















