Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com
Physical Address
Delta Corner Tower,
Waiyaki Way, Westlands, Nairobi, Kenya.
Contact us:
Email: info@todaysw.com

Mamlaka za Kenya zimemkamata raia wa China katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kudaiwa kujaribu kusafirisha maelfu ya mchwa nje aina ya Queen Garden kinyume cha sheria za nchi. Mshukiwa huyo aliyetambulika kwa jina la…

Mahakama jijini Brazzaville imemhukumu rais wa Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Congo (FECOFOOT), Jean-Guy Blaise Mayolas, kifungo cha maisha jela kufuatia kesi ya ubadhirifu wa fedha za maendeleo ya soka. Waendesha mashtaka walisema Mayolas alihusika katika matumizi mabaya ya…

RUKWA, Tanzania – Wakazi wa Mkoa wa Rukwa wanatarajiwa kuanza kupata umeme kutoka Gridi ya Taifa ifikapo Mei 2026 baada ya kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo mkubwa kutoka Iringa. Naibu Waziri wa Nishati Salome Makamba…

Alphonce Felix Simbu, mwenye umri wa 33, ameandika historia kwa Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu ya kwanza kabisa katika mashindano ya mbio za marathon — World Athletics Championships — yaliyofanyika Tokyo, Japan tarehe 15 Septemba 2025. Mara ya…

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa mjini Nairobi na mamlaka hiyo, maafisa sita wa polisi watashtakiwa kwa makosa ya mauaji na unyanyasaji, baadhi wakituhumiwa kuhusika kwa vitendo vya kufyatua risasi kiholela dhidi ya raia wakati wakitekeleza masharti ya marufuku hiyo.Polisi pia…

Kikosi cha Yanga Sc kilicho chini ya Kocha Msaidizi wa timu hiyo Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa basi kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa Juni 13, Uwanja wa Kambarage.Yanga Sc ipo nafasi ya tatu katika msimo…

Marekani imetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuanzisha uchunguzi na hatimaye kukamatwa kwa wale wote waliohusika na shambulio la kiongozi wa upinzani nchini humo Freeman Mbowe. Mbowe alivamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini Dodoma huku…

Burundi imempoteza mtoto wake wa kiume mwenye kustahili heshima, rais wa Jamhuri, kiongozi wa juu wa uzalendo wa taifa,” msemaji wa serikali Prosper Ntahorwamiye katika taarifa. Nkurunziza, alieongoza taifa hilo dogo la Afrika Mashariki kwa mihula mitatu, alikuwa anapanga kustafu…

ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ratiba kwake imekuwa ngumu kwa kuwa ana mechi ngumu na za ushindani ikiwa ni pamoja na ile ya Simba, Julai Mosi. Juni 14, Ciaoba atakiongoza kikosi chake kumenyana na Mbao mchezo…

RECOMMENDED FOR YOU