
Mfanyabiashara Apatikana Ameuawa Ndani ya Gunia Kenya, Watu Wanne Wakamatwa
Mfanyabiashara mmoja kutoka Scotland (Uskochi) amepatikana akiwa ameuawa nchini Kenya, mwili wake ukiwa umefungwa na kuwekwa ndani ya gunia, huku polisi wakiwakamata watuhumiwa wanne katika tukio linalodaiwa kuwa ujambazi uliogeuka mauaji. Marehemu aliyetambuliwa kama Campbell Scott alikuwa amesafiri kwenda Nairobi…











