Alphonce Simbu Afanya Historia: Medali ya Dhahabu ya Kwanza kwa Tanzania katika Marathon ya Dunia

Alphonce Felix Simbu, mwenye umri wa 33, ameandika historia kwa Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu ya kwanza kabisa katika mashindano ya mbio za marathon — World Athletics Championships — yaliyofanyika Tokyo, Japan tarehe 15 Septemba 2025. Mara ya…
