Kocha wa Azam FC alalamikia juu ya ratiba.

ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ratiba kwake imekuwa ngumu kwa kuwa ana mechi ngumu na za ushindani ikiwa ni pamoja na ile ya Simba, Julai Mosi. Juni 14, Ciaoba atakiongoza kikosi chake kumenyana na Mbao mchezo…
