Marekani yaitaka Tanzania kuwakamata wote waliomshambulia Freeman Mbowe

Marekani imetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuanzisha uchunguzi na hatimaye kukamatwa kwa wale wote waliohusika na shambulio la kiongozi wa upinzani nchini humo Freeman Mbowe. Mbowe alivamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini Dodoma huku…




