Rais wa Shirikisho la Soka Congo Jean-Guy Blaise Mayolas Ahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kashfa ya Fedha za FIFA

Mahakama jijini Brazzaville imemhukumu rais wa Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Congo (FECOFOOT), Jean-Guy Blaise Mayolas, kifungo cha maisha jela kufuatia kesi ya ubadhirifu wa fedha za maendeleo ya soka. Waendesha mashtaka walisema Mayolas alihusika katika matumizi mabaya ya…



