
Mbunge wa Zamani Kilwa Kusini ‘Bwege’ Afariki Dar es Salaam
Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Said Bungara maarufu “Bwege,” amefariki Jumatatu mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya figo katika hospitali binafsi.

Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Said Bungara maarufu “Bwege,” amefariki Jumatatu mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya figo katika hospitali binafsi.

Aliyekuwa Rais wa Ghana John Dramani Mahama amewasili Tanzania kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yanayofanyika Arusha. John Dramani Mahama aliwasili nchini Jumatatu kuhudhuria hafla ya kuadhimisha miaka…

Iran imeanza siku ya Jumapili kwa kutangaza kifo cha kiongozi wake mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, mwenye umri wa miaka 86, kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali, na kuamsha siku 40 za maombolezo kitaifa. Televisheni ya taifa na…

Afghanistan na Pakistan zimeingia katika vurugu za kijeshi kando ya mpaka unaogawanya nchi hizo wawili, baada ya Afghanistan kuzindua mashambulizi makubwa dhidi ya ngome za kijeshi za Pakistan na Pakistan kujibu kwa operesheni kali ya kijeshi. Vituo vya habari vya…

Jeshi la majini la El Salvador limekamata meli iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Tanzania, yenye usajili wa Zanzibar, baada ya kubainika kubeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya cocaine katika operesheni ya baharini. Meli hiyo yenye urefu wa takribani…