Klabu ya Yanga safarini kuikabili Mwadui FC
Kikosi cha Yanga Sc kilicho chini ya Kocha Msaidizi wa timu hiyo Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa basi kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa…
Marekani yaitaka Tanzania kuwakamata wote waliomshambulia Freeman Mbowe
Marekani imetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuanzisha uchunguzi na hatimaye kukamatwa kwa wale wote waliohusika na shambulio la kiongozi wa upinzani nchini humo Freeman Mbowe. Mbowe alivamiwa na kushambuliwa…
Rais Nkurunzinza wa Burundi Afariki kwa Mshtuko wa Moyo
Burundi imempoteza mtoto wake wa kiume mwenye kustahili heshima, rais wa Jamhuri, kiongozi wa juu wa uzalendo wa taifa,” msemaji wa serikali Prosper Ntahorwamiye katika taarifa. Nkurunziza, alieongoza taifa hilo…
Kocha wa Azam FC alalamikia juu ya ratiba.
ARISTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ratiba kwake imekuwa ngumu kwa kuwa ana mechi ngumu na za ushindani ikiwa ni pamoja na ile ya Simba, Julai Mosi.…
Video: Dear Mama (New track)
The Eastern Bandits just released their new track called ‘Dear Mama,’ not the cover for 2Pac’s Dear Mama, but an original song with Swahili words. Damian Addy, the lead rapper…